Bofya kwenye visanduku vilivyo hapa chini ili kuchagua na kushiriki ujumbe unaohusiana na changamoto wanazopita wakunga, wanawake na watu wanaojifungua katika eneo lako
Kupunguza idadi ya utoaji mimba kutoka milioni 40 hadi milioni 25
Kupunguza idadi ya utoaji mimba kutoka milioni 40 hadi milioni 25 Kuepusha vifo vya watoto wachanga kwa sababu ya HIV kutoka 27,000 hadi 15,000
Kuongezea upatikanaji wa vidonge vya kuzuia mimba na mpango wa kisasa wa kupanga uzazi kwa zaidi ya wanawake milioni 220 ambao hawawezi kupata vidonge vya kuzuia mimba
Ili kuongezea sauti za wanawake katika uongozi, wakunga wanahitaji nafasi zaidi za elimu, njia wazi za kupata vyeo, na nyadhifa thabiti katika serikali #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg
Ili kuongezea sauti za wanawake katika uongozi, wakunga wanahitaji nafasi zaidi za elimu, njia wazi za kupata vyeo, na nyadhifa thabiti katika serikali #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg
Wakati wakunga wanaongoza, wanawake kila mahali wanashinda. Kuwahusisha wanawake katika uongozi huweka haki za wanawake kwenye ajenda ya afya. #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg
ya nchi zilizochunguzwa ziliripoti HAKUNA wakunga wowote walio katika nyadhifa za uongozi, na nusu hazina wakunga katika Wizara ya Afya.
nchi atasaidia kuhakikisha mahitaji ya wakunga na ya wanawake na watoto wachanga wanaowahudumia yatazingatiwa katika sera zinazoathiri hadhi, afya na ustawi wao.
Wakunga uharakisha ajenda ya haki za binadamu kwa kuhakikisha njia ya uhuru wa uzazi wa wanawake. Kwa urahisi, kuwekeza katika wakunga ni kuwekeza katika kazi ya kutetea haki za kijinsia, na haki za wanawake wakati wa kujifungua na kuendelea. #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg